Search

Category: Matukio

PICHA: SEND OFF YA NURU MWAMBOLA: DANKEN HOUSE-MIKOCHENI: 28.11.2017

Bibi harusi mtarajiwa, Nuru Mwambola (kushoto) akiwa na Matron wake Mary Mwenyekiti wa kamati Mr. Kalinjuna John akiwakaribisha wageni waalikwa  MC. Dr. Chris Mauki...

PICHA: HARUSI YA EDGER ISHENGOMA NA MKEWE KIPENZI VICKY: UBUNGO PLAZA: 25.11.2017

Maids & Grooms men wakifanya yao kabla ya maharusi kuingia ukumbini Mr. & Mrs. Edger Ishengoma wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akiweka...

PICHA: DAY 2 YA COUPLES BOND 2017 “MORE FIRE”: GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL: 25.11.2017

 Pale unapoamua kufundisha kwa kutoa  mifano  Dr. Chris Mauki akishusha madini yake kwenye Couples bond 2017 More fire Miriam Lukindo Mauki akitolea ufafanuzi jambo...

PICHA: DAY ONE YA COUPLES BOND 2017 “MORE FIRE” :GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL: 24.11.2017

Burudani zilianza mapema sana, baada tu ya watu kuwasili hotelini. Chakula cha jioni kilishaandaliwa mapema sana Couples wakipata Starter kwa ajili ya kupasha matumbo...

PICHA: HARUSI YA FRANCIS MNYEMA NA MKEWE KIPENZI LEOCADIA: ROYAL SKYLINE HALL-MBEZI BEACH: 18.11.2017

Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi Mr & Mrs. Fransic Mnyema wakiingia ukumbini kwa madoido Mwenyekiti wa kamati Mr. Francis Kiswata akifungua kwa sala...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE TRAINING NA STAFF WA VODACOM HQ: 17.11.2017

Staff wa Vodacom makao makuu walimsikiliza Dr. Chris Mauki  Dr. Chris Mauki akifundisha life skills orientation kwenye training na staff wa Vodacom Pale talk ya Dr....

PICHA: HARUSI YA ENOCK TUMBO NA MKEWE KIPENZI SARAH: DANKEN HOUSE-MIKOCHENI: 11.11.2017

Flower girls wakisafisha njia kwa ajili ya maharusi Mr. & Mrs. Enock Tumbo waingie ukumbini Maharusi Mr. & Mrs. Enock Tumbo  Mwenyekiti wa kamati Mr. Abel...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA CAMPUS NIGHT: TANGANYIKA PACKERS-KAWE: 10.11.2017

Miriam Lukindo Mauki akihudumu kwenye usiku wa Campus Night siku ya jana pale Tanganyika Packers  Mamia ya vijana kutoka vyuo mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam...

PICHA: HARUSI YA NDEVONAEL MCHARO NA MKEWE KIPENZI LENAHTLISA: KING SOLOMON HALL: 04.11.2017

  Best Man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi Mr. & Mrs. Ndevonael Mcharo wakiingia ukumbini  Mwenyekiti wa kamati Mr. Michael Msuya akiwakaribisha wageni...

PICHA: HARUSI YA FRANK FUTE NA MKEWE KIPENZI NDWELA: KRISTO MFALME HALL-TABATA: 28.10.2017

Maids wakisafisha njia ili maharusi wapate kuingia ukumbini Maharusi Mr. & Mrs. Frank Fute wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu Mch. Hagai akifungua kwa sala...