Search

Category: Matukio

PICHA: SENDOFF PARTY ILIYOBAMBA SANA YA DR. GLADY’S KAAYA – CARDINAL RUGAMBWA HALL: 11.06.2015

PICHA: MAANDALIZI YA SHOW YA MAHUSIANO NA WANAWAKE LIVE YA JOYCE KIRIA

Joyce Kiria the Super woman, akinionyesha maeneo ya ofisi yake mpya na kituo kipya cha wanawake live. Hongera sanaaaa Joyce. Your flying. Kwakweli hatujaonana muda...

PICHA: SEND OFF PARTY YA COLUMBA BURETA – JOSAM HOUSE GARDEN: MWENGE

GOBO MEDIA

PICHA: HARUSI YA ABBAS MLINGA NA MKEWE MARIAM – MSASANI TOWER HALL: 6.6.2015

Bwana na bibi harusi Abbas na Mariam wakiwa wamepoz siku ya harusi yao pale Msasani Tower Hall Nikihojiana kitu na baba mdodgo wa Mariam, Mzee huyu alitufurahisha...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KTK MKUTANO MKUU WA NSSF – AICC ARUSHA

Dr. Chris Mauki akishusha nondo kwa watu wa mataifa tofauti waliohudhuria mkutano huo mkubwa Usikivu wa umakini zaidi Wale waliohitaji kutafsiriwa lugha walipata huduma...

PICHA: HARUSI YA KUFANA YA PETER MTAVANGU NA JOYCE. MWIKA SOCIAL HALL – SINZA

PICHA: HEALTHY MIND IN A HEALTHY BODY: UDSM GYM

Nikiwa na gym trainer wangu Mr. Swai, na pembeni ni my brother na rafiki Dr. Msangi bada ya kutoka jasho sanaaaa  gym ya chuo kikuu Mlimani. Picha kwa hisani ya Issa wa...

PICHA: HARUSI YA KENNETH LEVERI NA GLORY. MSASANI TOWER.TAR 01.05.2015

Baada ya talk ya Anglican Magomeni nikajivuta kuendeleza talent pale Msasani Tower kwenye wedding murua ya Kenneth na Glory. Angalia picha hizi hapa Kwa mahitaji ya MC...

PICHA: SEMINA KWA VIJANA – ANGLICAN CHURCH MAGOMENI. TAR 01.05.2015

Tarere 1.5.2015 mchana nilipata nafasi ya kuwa mmoja wa wasemaji katika semina ya vijana iliyoandaliwa na uongozi wa kanisa la Anglican Magomeni na hapo nilikuwa...