Search

Category: Saikolojia

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI?

KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI? Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni...

DARASA LA ALHAMISI na DR. CHRIS MAUKI: CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA KISAIKOLOJIA KWA KINAMAMA WANAOLEA WATOTO PEKE YAO “SINGLE MOTHERS”

        CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA KISAIKOLOJIA KWA KINAMAMA WANAOLEA WATOTO PEKE YAO  “SINGLE MOTHERS” Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUFANYA NAO KIMAPENZI?

Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni Baraka na jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wenye sura nzuri na wenye mvuto. Pamoja na ukweli...

KWANINI WANAUME WENGI WALIOKO KWENYE NDOA HUFA MAPEMA NA KUWAACHA WAKE ZAO???

          KWANINI WANAUME WENGI WALIOKO KWENYE NDOA WANAKUFA MAPEMA NA KUWAACHA WAKE ZAO? (Kwanini wajane ni wengi kuliko wagane??) 1. Umri...

DALILI ZA KUKUJUZA KUWA MUMEO ANAMAHUSIANO NA HOUSE GIRL

    DALILI ZA KUKUJUZA KUWA MUMEO ANA MAHUSIANO NA HOUSE GIRL 1. Anaweza kukufokea hata mbele ya huyo msichana 2. Anaonyesha upendeleo kwake tofauti na kwa...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: NINI CHANZO NA ATHARI ZA HASIRA??

  IELEWE HASIRA NA CHIMBUKO LAKE (Msaada katika kuyaboresha mahusiano yetu) Hasira ni hisia nzito zinazoambatana na maumivu ya moyo. Ingawa ni mojawapo yahisia...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: ITAMBUE HAIBA YAKO (Know your Personality) PART II

ITAMBUE HAIBA YAKO (Know your Personality) Baada ya kufahamu utofauti mkubwa tulionao kwenye haiba “personalities” zetu, sasa nina jibu swali “Tufanye nini??”...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: ITAMBUE HAIBA YAKO (KNOW YOUR PERSONALITY) PART 1

ITAMBUE HAIBA YAKO (Know your Personality) Katika utafiti wakuchunguza athari za msongo wa mawazo katika moyo, madaktari Mayer Friedman na Ray Roseman waliweza kuwaweka...

KWA WANAOHITAJI HUDUMA YA USHAURI WA KISAIKOLOJIA “COUNSELLING”

Kama unahitaji huduma ya ushauri wa kisaikolojia “counselling” katika masuala mbalimbali ya maisha usisite kuwasiliana nasi kwa 0717 052 328, utapewa namna...